Tuesday, July 2, 2013

Photos: BAKHRESA AFANYA KUFURU!!!!! ZANZIBAR NA KUIBADILISHA MUONEKANO WA BANDARI HIYO


1000535_544066532323221_52620896_n
Huu ndio muonekano mpya wa bandari ya Zanzibar, eneo la bandari ya malindi hasa lile eneo la boti ndogo ziendazo kwa kasi. Kutokana na Serikali kutokuwa na uwezo hali iliyopelekea kushindwa kuliendeleza iliamua kumkabidhi mfanya biashara mzalendo, Bw Said Bakhresa. Hivi ndivyo mfanyabiashara huyo alivyoiboresha

Advertisement


.
HEBU ANGALIA JAMANI

MUONEKANO WA BANDARI YA ZANZIBAR SASA.

Shikamoo Bakhresa!















No comments:

Post a Comment