Tuesday, July 2, 2013

Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Chuo Cha Madini Shinyanga (ESIS)

Mwaka wa Masomo  2013/2014.
Uongozi wa Chuo cha Madini Shinyanga unayofuraha kuwapongeza wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2013/2014 katika fani ya Utafutaji na Jiolojia ya Uchimbaji wa Madini kwa ngazi za vyeti yaani NTA LEVEL 4 na NTA LEVEL 5.
Uongozi wa chuo unachukua nafasi hii kuwatangazia wanafunzi Wote kama ifuatavyo
  1. Kwa wale wanafunzi waliofanikiwa kupata nafasi yaani successful applicants watahitajika kudhibitisha kukubali nafasi hizo na kuwa wataripoti chuoni katika tarehe watakayopangiwa, udhibitisho huo ufanyike ndani ya wiki moja tuu kuanzia 3/7/2013 hadi 10/7/2013. Kama udhibitisho hautofanyika ndani ya muda uliopangwa nafasi hiyo itafutwa.
  2. Kwa wale wanafunzi waliofanikiwa kupata nafasi za akiba yaani reserved applicants watahitajika kudhibitisha kuzikubali nafasi hizo na kuwa watakuwa tayari kuripoti chuoni muda wowote watakaoitwa ndani ya 1/8/2013 hadi 12/8/2013, udhibitisho huo ufanyike ndani ya wiki moja kuanzia 3/7/2013 hadi 10/7/2013. Kama udhibitisho hautoanyika ndani ya muda uliopangwa nafasi hiyo itafutwa.
Udhibitisho (confirmation) huo uandike kwa kutuandiki ujumbe wa barua pepe kama ifuatavyo
Andika kwenda kwa bahati@esis.ac.tz
EMAIL SUBJECT : Successiful applicant OR Reserved applicant
EMAIL BODY: I (name of the student as it is appearing on our list) confirm to accept the chance.
NOTE: Jitahidi kufuata maelekezo na kuepusha maneno mengi kwenye ujumbe wa barua pepe ili kurahisisha utendaji wa kazi.
HONGERENI SANA NA KARIBUNI CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS).
SUCCESSFUL APPLICANTS FOR JOINING BASIC CERTIFICATE (NTA LEVEL 4) IN EXPLORATION AND MINING GEOLOGY 2013/2014 ACADEMIC YEAR
MALES’ NAMES
  1. NGELELA, Shigeli G
  2. JOHN, Mathayo
  3. SOSTHENES, Paul
  4. MOLLEL, Emmanuel
  5. PETER, Mbusiro
  6. HAMADI, Bagenda
  7. MADUHU, Genuine N
  8. YOHANA, Abinel J
  9. MICHAEL, Emanuel
  10. EDWARD, Mbanga
  11. MICHAEL, Juma
  12. AUDAX, Auxilius M
  13. AMANI, Nurdin O
  14. YUSUPH, Tamiru  J
  15. MADAFA, Elvis
  16. MADAFA, Elton
  17. BULUBA, Hemedi
  18. FEMBA, Filbert A
  19. MNOSI, Cathbert
  20. PATRICK, Richard
  21. MOLLEL, Evarist R
  22. MAMIRO, John D
  23. JUMANNE, Halifa
  24. PETER, Essau C
  25. MWALUSITO, Patrick
  26. HATIBU, Mnyusi
  27. SAGIRE, George S
  28. MAKONDA, Boniphance M
  29. KAYANDA, Gideon
  30. LEE, Isaack P
  31. JULIUS, Emmanuel
  32. MOSHI, Victor E
FEMALES’ NAMES
  1. ERASTO, Herieth B
  2. BANGEREZA, Adelmaris D
  3. BARONGO, Diana
  4. RICHARD, Fraviana
  5. MAGEMBE, Regina M
  6. KASAINE, Natasarwaki A
  7. MATONGO, Magdalena A
  8. SIMBA, Edna
  9. MUSHEMBA, Leah J
  10. NGOMUO, Navoneiwa E
  11. GIDEON, Esther G
  12. MAGOMA, Dorcas

RESERVED APPLICANTS FOR JOINING BASIC CERTIFICATE (NTA LEVEL 4) IN EXPLORATION AND MINING GEOLOGY 2013/2014 ACADEMIC YEAR
MALES’ NAMES
  1. MAJIGO, Magai F
  2. DANIEL, Venance G
  3. BASHIRI, Idrisa
  4. SHARO, William
  5. MOHAMED, Kassim H
  6. AUDIPHAS, Raphael
  7. WERSHELOUS, Jackson J
  8. OBADIA, Seleman
  9. MLYAKANGA, Bahati D
  10. ISMAIL, Yusuph
  11. TESHA, Honory
  12. THOMAS, Shida
  13. NESTORY,Nelson M
  14. LWEMA, Athony D
  15. MAGENDO, Ibrahim
  16. MPULE, Melckizedeck
  17. NGORO, Japhet C
  18. REVOCATUS, Chrian M
  19. CHARLES, Dino J
  20. MCHUNGA, Charles S
  21. ELISHA, Misana
  22. SENTOZI, Joshua
  23. CHANDARUA, Kuwaya
  24. MINJA, Gilberth J
  25. JAMES, Fredrick
  26. SIKIRA, Bezarel B
  27. MUJUNGU, Mtaluga C
  28. JUMANNE, Kashinje
  29. MPUMBI, Samson E
  30. BAKARI, Ramadhani
  31. JULIUS, Thomas
  32. KAPINGA, Narzis M
  33. MASWI, Calvin
  34. MUSSA, Chisumo E
  35. MWAKALINGA, Venance A
  36. SAMWEL, Asenath
  37. MWIYIHAMIS, Hassan
  38. LAMECK, Peter
  39. MUSTAFA, Sadru
  40. AZIZ, Mubarck
  41. AHMED, Seif
  42. JOHN, Stephen S
  43. MUTGOMA, Emmanuel
  44. BWILA, Jonathan D

No comments:

Post a Comment