Katika interview yake ya kwanza tangu kutoka gerezani, Elizabeth Michael aka Lulu, amefunguka kuhusu uhusiano wake na marehemu Steven Kanumba, mama Kanumba, kazi zake za sasa, mapenzi n.k. katika kipindi cha Take One cha Clouds TV kinachoendeshwa na Zamaradi Mketema