Monday, November 19, 2012


MANISPAA YA TEMEKE NA ZIMA MOTO YA WANAOPAKI PEMBENI MWA BARABARA

Temeke Pamoja at KARIBU TEMEKE - 22 hours ago
TemekePamoja tunaomba uwajuze watu wa Manispaa ya Temeke kuhusu hili suala lao la malori wanayopaki pembezoni mwa barabara juzi kati ilipita operesheni ya kuyaondoa magari hayo katika barabara hizo lakini naona kama watu wa manispaa wakiwa wanakosa pesa ya bia ndio wanakuwa wakali sana kwanini hili suala haliwi endelevu sababu viwanja vya michezo vinaharibika ndio imekuwa kama sehemu zao kupaki magari wakati wanayadi kubwa pale chan`gombe lakini hawaendi, barabara zinaharibika uwezo wa barabara tofauti na magari yanayoingia mtaani, hizi ni baadhi ya picha ambazo wakikosa hela ya m... more »

TUMEATHIRIKA NA LIGI YA UINGEREZA

Temeke Pamoja at KARIBU TEMEKE - 23 hours ago
Hii ilikuwa jana wakati tukifatilia mechi kati ya Arsenal vs Tottenham watu wengi wameathirika na Ligi kuu ya Uingereza Wemgine hadi juani wanakaa

No comments:

Post a Comment