Monday, November 19, 2012

habari za leo Leo


WAKALI WA MICHANO ILALA WATINGISHA DAR LIVE, MBAGALA

Mmoja wa washindani, Halid Salim, akikamua.…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 12:30pm — 1 Comment

MICHEZO KWA KUBOFYALINK HAPO CHINI

SOMA HABARI ZA UKURASA HUU KWA KUBOFYA…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 9:56am — 1 Comment

SOMA HABARI ZOTE ZA UKURASA HUU HAPO CHINI

SOMA HABARI ZA UKURASA HUU KWA KUBOFYA…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 10:07am — 1 Comment

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA HAYATI JACKSON MAKWETTA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Makweta…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 5:00pm — 1 Comment

VIJANA NCHINI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA UJASIRIAMALI ILI KUONGEZA THAMANI KATIKA KAZI NA BIASHARA

Mwezeshaji katika mafunzo ya Ujasiriamali katika Wiki ya Ujasiriamali Duniani Austin Makani (kushoto) akitambulisha meza kuu wakati wa Hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu na kufunga Mafunzo hayo. Mgeni rasmi Mkuu wa Shule Kuu ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Ulingeta Mbamba (katikati),…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 4:45pm — 1 Comment

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana, akisalimiana na Katibu wa Mkoa wa Vyuo Vikuu, Christopher Ngubiagai, leo tarehe 19/11/2012 , Ofisi Ndogo CCM  Lumumba.

Katibu wa Uchumi na Fedha CCM, Mama Zakhia Meghji,…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 2:48pm — 2 Comments

CHEKA, KALAMA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO KESHO

Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 8:30am — No Comments

SUPER D AENDELEA KUTOA MAFUNZO YA MCHEZO WA MASUMBWI BURE KWA VIJANA

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza mmoja wa vijana waliojitokeza katika mafunzo ya mchezo wa masumbwi, Roger Musami jinsi ya kumzohofisha mpinzani wakati wa mchezo kwa kupangua ngumi zake kwa kiwiko wakati wa…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 4:32pm — 1 Comment

AIRTEL TANZANIA NA UNESCO WAZINDUA REDIO JAMII LOLIONDO MKOANI ARUSHA‏

Waziri wa Sayansi Mawasiliano na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa akifungua jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa redio ya jamii ya LOLIONDO FM wakati wa hafla maalum ya uzinduzi wa redio kijijini Ololosokwani.…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 2:00pm — 1 Comment

WAREMBO KUTOKA ULAYA KUSHIRIKI MISS EAST AFRICA 2012

MISS EAST AFRICA BELGIUM- Cynthia Ikwene (24).…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 12:05pm — 2 Comments

MKUTANO WA MAPOKEZI YA MWENYEKITI NA SEKRETARIETI MPYA YA CHAMA CHA MAPINDUZI

Meza Kuu wakati wa mkutano wa mapokezi ya Mwenyekiti pamoja na Sekretarieti Mpya katika viwanja vya Mnazi Mmoja.…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 12:27pm — 2 Comments

DAVINA AFUNGA NDOA

Stori: Imelda Mtema na Hamida Hassan

STAA wa filamu aliyewahi kutamba na Kundi la Sanaa la Kaole la jijini Dar, Halima Yahaya ‘Davina’ Alhamisi iliyopita alifunga ndoa kimyakimya na mwanaume ambaye mpaka sasa hajaamua  kumuweka hadharani, Ijumaa Wikienda linakujuza.…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 10:00am — 7 Comments

BOB JUNIOR AFUNGUKIA USHOGA

Stori: Waandishi Wetu

HATIMAYE staa wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ ameifungukia skendo yake ya kwamba yeye ni shoga, Ijumaa Wikienda liko makini kushusha mambo.

Akizungumza kupitia kipindi cha runinga moja usiku wa Ijumaa iliyopita, Bob Junior alisema chanzo cha yeye kudaiwa ni…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 10:20am — 8 Comments

JACK NIMETOKA NA WANAUME WATATU TU

Jacqueline Wolper.
ANAITWA Jacqueline Wolper au ukipenda muite Ilham. Ni msanii wa filamu Bongo ambaye wiki hii yuko hapa kujibu na kufafanua juu ya maswali mliyomuuliza. 
Huyu anaomba nafasi

Nakupenda…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 11:00am — 6 Comments

UNAPOPEWA, JIULIZE UNATOA NINI? USIENDEKEZE MAPENZI YA KIZAMANI -5

LEO naendelea na ‘topiki’ hii niliyoianza wiki iliyopita inayohusiana na wapenzi kusaidiana na kuacha mapenzi ya kizamani ya kumtegemea mtu mmoja. Endelea...

Labda nisisitizie kitu, sina maana kwamba kama wewe unatoa fedha ni sharti naye awe anakupa, la hasha! Uhusiano bora wa mapenzi huboreshwa…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 11:00am — No Comments

PAROKO APIGWA RISASI, MSAIDIZI WAKE ACHARANGWA MAPANGA

Paroko wa Parokia ya Isimani, Iringa, Angelo Burgio (60) akiwa amelazwa kwenye Hospitali ya Mkoa wa Iringa.
PAROKO wa Parokia ya Isimani, Iringa, Angelo Burgio (60), raia wa Italia amepigwa risasi ubavuni na watu…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 10:30am — 2 Comments

Kavumbagu amhofia Tchetche

Didier Kavumbagu.
Na George Kayala

KINARA wa mabao katika mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara, Didier Kavumbagu, amepata hofu kwamba huenda mshambuliaji mahiri wa Azam FC, Kipre Tchetche,…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 9:48am — 1 Comment

Kindagule: Kapombe ametupa faida kubwa

Beki wa Simba, Shomari Kapombe.
Na Daudi Julian, Morogoro

TAASISI ya kuendeleza mchezo wa soka kwa vijana mkoani hapa (YWSD), imesema mchezaji Shomari Kapombe wa Simba ndiye pekee aliyeinufaisha zaidi…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 8:51am — 1 Comment

Nyoni aikataa Simba, aitaka Yanga

Erasto Nyoni.
Na Lucy Mgina

BEKI wa Azam anayesubiri hukumu yake baada ya kuripotiwa kula rushwa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, Erasto Nyoni, ameikataa…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 9:02am — 2 Comments

Rais Caf kufungua michuano ya Chalenji

Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf), Issa Hayatou.
Na Mwandishi Wetu

RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf), Issa Hayatou, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michuano ya Kombe la…
Added by GLOBAL on November 19, 2012 at 9:14am — 1 Comment

No comments:

Post a Comment