Jumla ya wanamitindo kumi na mbili wamechaguliwa
kuingia katika shindano la kusaka UNIQUE MODEL OF A YEAR 2012 ambapo usaili huo
ulifanyika katika Hoteli ya Lamada jumapili.
Wanamitindo hao ni Elizabeth Petty,Phina revocatus,Amina Ayoub,Vivian Gilbert,Mwanaidi Mokitu,Elizabeth Boniface,Magreth M safiri,Berther Beson,Jennifer Njabili ..........

Thursday, November 8, 2012
....WABONGO SIYO WAMINIFU AISE......

MWIGIZAJI
Nyota katika tasnia ya filamu Swahiliwood, Yvonne Cherryl Monalisa amewashutumu
wasanii wenzake kwa kusema uongo katika jamii kuhusu maisha yao halisi pamoja
na malipo wanayopata.
Binti huyo amedai kwa kufanya hivyo wasanii wengi wemejikuta katika maisha ya kuunga unga kutokana uongo huo.
Baadhi ya wasanii wa filamu wanadanganya sana kuhusu hali halisi ya maisha yao, mtu akipata nafasi ya kuongea na vyombo vya habari kuhusu malipo na maisha yake halisi utakuta akisema kuwa yeye bila kulipwa milioni tano hawezi kushiriki katika filamu, lakini ukweli hakuna msanii wa kawaida anayelipwa fedha kama hizo katika tasnia ya filamu Bongo mimi mwenyewe ni mtayarishaji, anasema Monalisa.
Anaendelea kudai kuwa kutokana na udanganyifu huo Serikali kupitia Bodi ya Filamu iliamua kuongeza gharama za kibali cha kurekodi filamu hadi kufikia Shilingi 500,000 jambo lilofanya wasanii walalamike kama ni fedha kubwa sana kulingana na malipo ya filamu, lakini ilitokana na udanganyifu kutoka kwa baadhi ya wasanii wa filamu kudanganya, mwanadada huyo anasema hali ya soko la filamu ni mbaya kwa sasa.

........VIGEZO VYA KUMRITHI ASIA DACHI HIVI HAPA......

Vigezo vya kujiunga na ushiriki washindano hilo :-
Pia vigezo vya
mshiriki kuwa mshindi lazima akidhi vigezo vifuatavyo na Jumla ya alama ni
100 na zimegawanyika kama ifuatavyo;-
·
sura na umbo lenye mvuto wa mwanamitindo. (Alama 30).
·
Uwezo wa ziada wa kutembea miondoko ya kimaonyesho ya nguo.(Alama 30).
·
Uwezo wa kutambua mambo mbalimbali na kujieleza (Alama 20).
·
Kujiamini na uchangamfu jukwaani.(Alama 10)
· Nidhamu.
(Alama 10)
Jumla ya alama ni 100
na zimegawanyika kama ifuatavyo;-
·
sura na umbo lenye mvuto wa mwanamitindo. (Alama 30).
·
Uwezo wa ziada wa kutembea miondoko ya kimaonyesho ya nguo.(Alama 30).
·
Uwezo wa kutambua mambo mbalimbali na kujieleza (Alama 20).
·
Kujiamini na uchangamfu jukwaani.(Alama 10)
· Nidhamu.
(Alama 10)
Tuesday, November 6, 2012
......MAMBO IKO HUKU......UNIQUE MODEL 2012 MAMBO YAMEIVA.......

Wanamitindo wote wenye ndoto za kukuza vipaji vyao
mnaombwa mjitokeze siku ya tarehe 18/11/2012 siku ya jumapili saa nne asubuhi
katika hoteli ya Lamada iliyopo maeneo ya Msimbazi ili kufafanyiwa usaili wa
kupata tiketi ya kuingia UNIQUE MODEL a.k.a "gold room".
Ewe mwanamitindo usikose nafasi hii adimu ya kutimiza ndoto zako za kuwa mwanatindo maarufu na atakaepata dili kibao za mitindo ndani na nje ya nchi,jitokeze ni wakati wako sasa binti.
Unique model 2012 imedhaminiwa na Giraffe ocean view hotel,Dtv,Gazeti la Tanzania Daima,mashujaa Investment ltd,

........NDAUKA AJITETEA KWA KIREFU......

MWIGIZAJI
na mtayarishaji wa filamu Swahiliwood, Rose Ndauka amekanusha kuhusu madai kuwa
amekuwa akiitisha usahili kwa wasanii Chipukizi na kuwachukulia fedha bila
kuwashirikisha katika filamu zake.
Rose amekanusha shutuma hizo baada ya wasanii ambao waliwahi kufika katika ofisi za mwanadada huyo kushiriki katika usahili na kunyimwa nafasi.
Jamani si rahisi kuchukua kila mtu anayeshiriki katika usahili inawezekana kweli akawa na sifa lakini wasanii wa aina hiyo wakawa wengi hapo linakuja suala la bahati ya mtu, hata wale wenye sifa majina yao yanahifadhiwa kampuni inapohitaji wasanii wengine wale ndio wanaopewa nafasi ya kwanza na si vinginevyo, anasema Rose.
Siku za nyuma baadhi ya wasanii chipukizi walilalamika kuwa Rose amekuwa akifanya usahili kwa lengo la kujipatia fedha kwani mara nyingi baada ya usahili kufanyika wasanii ambao uwapanafasi ya kuigiza uwa ndugu zake na rafiki zake wa karibu na si walioshinda katika usaili, jambo lililomepingwa na Rose Ndauka.

No comments:
Post a Comment