Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka
akizindua rasmi Ujenzi wa Nyumba za Makazi za NHC Mchikichini Jijini Dar
es Salaam kwa kuweka jiwe la msingi katika katika mojawapo ya majengo
ya majengo hayo ikiwa ni mojawapo ya maadhimisho ya miaka hamsini ya
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) , baada ya uwekaji wa jiwe la msingi
alikagua ujenzi wa mradi huo wa nyumba hivi karibuni.
Mkurugenzi
Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akizungumza na MC maarufu nchini na
Mtangazaji wa Kipindi cha Maisha ni Nyumba, Ephraim Kibonde (picha ya
juu) pamoja na mtangazaji wa TBC (picha ya chini) baada ya uzinduzi
rasmi wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi za NHC Mchikichini Jijini Dar es
Salaam ikiwa ni mojawapo ya maadhimisho ya miaka hamsini ya Shirika la
Nyumba la Taifa (NHC) , baada ya uwekaji wa jiwe la msingi alikagua
ujenzi wa mradi huo wa nyumba.

No comments:
Post a Comment