Bariki Moshi

Tuesday, December 4, 2012

UHAI CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI DESEMBA 7, 2012




** *Michuano ya Kombe la Uhai inayoshirikisha timu za U20 za klabu za Ligi Kuu ya Vodacom inatarajia kuanza Desemba 7 mwaka huu na kumalizika Desemba 22 mwaka huu. * * * *Wachezaji watakaoshiriki michuano hiyo ni wale tu ambao usajili wao umefanyika Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kupata leseni. Hakutakuwa na usajili mwingine wowote mbali na ule uliofanyika sambamba na wa Ligi Kuu. * * * *Taratibu zote za michuano hiyo zitafahamishwa kwa klabu husika ikiwemo ratiba ya michuano hiyo.*
Posted by Unknown at 1:42 PM

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

My Blog List

  • Wasanii wa Tanzania na Haki Zao-Tanzania artists' rights
    THE END OF LIVING IN GOVERMENT QUATERS - With Mwalimu Francis, the goverment employee in jail, we were told to evacuate the government quarters as soon as possible, there was only one place t...
    3 years ago
  • Banzi wa Moro
    Shukrani iliyoniliza - Ilikuwa zaidi ya shukrani. Pale Dada Slyvia Daulinge, mtoto kitinda mimba wa Bw & Bi. Nestory Daulinge alipotoa shukrani kwa wote waliomhangaikia marehem...
    7 years ago
  • KARIBU TEMEKE
    RAISI MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WAKUU WA MIKOA -
    9 years ago
  • Dina Marios(dm)
    PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA VETERANI - Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha mchan...
    10 years ago
  • BONGO STAR LINK
    (Photo's) Hivi ndivyo NIKKI WA PILI na washkaji zake walivyokula ndoto ya MASTER OF ARTS IN DEVELOPMENT MANAGEMENT pale CHUO KIKUU CHA MLIMANI - Anajulikana na mashabiki kwa jina la Nikki wa Pili msanii wa Hip Hop nchini anayeliwakilisha lile kundi la WEUSI, jana tarehe 16 Nikki alikuwa ana gradu...
    11 years ago
  • Bariki Moshi
    DECEMBER LIKIZO FESTIVAL 2012 WELCOME 2013 -
    12 years ago
  • FK's Collection
    New Arrivals....Sneak Peak - FK's collection boutique , the hottest boutique in town for trendsetters, Dar-es-salaam A-listers and glam fashionistas brings to you exclusive mix of the ...
    15 years ago
  • dvnicecollection
    -
  • Lady Jay Dee
    -

Search This Blog

Your Views Are Highly apreciated

welcome To my Blog

Pageviews last month

My Blog List

How is my Blog

About Me

Unknown
View my complete profile

Facebook Badge

Bariki Moshi

Create Your Badge

Translate

Wikipedia

Search results

Ethereal theme. Powered by Blogger.