Tuesday, December 4, 2012
ajali Tanangozi, Iringa, yauwa wanne papo hapo leo
*
**GARI LILILOPATA AJALI TOYOTA RAV 4 T 770 BMP ENEO LA TANANGOZI -IRINGA LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA BWANA EZEKIEL MWAITELEKE (MAREHEMU) MAJIRA YA SAA SITA NA NUSU MCHANA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WATANO WA FAMILIA MOJA PAPO HAPO DESEMBA 4, 2012 * * * ***BAADHI YA AKINA MAMA WASAMARIA WEMA WA TANANGOZI IRINGA WAKIJARIBU KUMPEPELEKA MMOJA WA MAJERUHI WA AJALI ILIYOTOKEA DESEMBA 4,2012 HUKO TANANGOZI IRINGA LIKIHUSISHA TOYOTA RAV 4 T 770 BMP LILILOINGIA NYUMA YA TRAILER T 566 BNQ AMBAPO WATU WATANO WA FAMILIA MOJA WALIOKUWA WAKITOKEA DAR KWENDA MBEYA WALIFARIKI PAPO HAPO 6:BAA..
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment