Tuesday, December 18, 2012

Habari Za Leo

MEYA WA DAR MASSABURI AFURAHISHW​A NA DAR METRO GAZETI JIPYA LA MATANGAZO

 Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi (kushoto) akikabidhiwa gazeti jipya la Dar Metro na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto (kulia), ofisini kwake Karimjee, Dar es Salaam leo. Gazeti hilo maalumu kwa matangazo linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure kwa wasomaji. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)  Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi (kushoto) akisoma gazeti jipya la Dar Metro alilopelekewa...

IKULU YAZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE BORA, YAPOKEA MAKOMBE YA SHIMIWI NA KUPONGEZA WANAMICHEZO WAKE LEO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimpa zawadi Bw. Miraji Ahmed Saleh kwa kuibua mfanyakazi bora na pia mfanyakazi hodari wa  Ofisi ya Rais Ikulu. Bw Saleh ni  Msaidizi wa Ofisi Mwandamizi katika  Idara ya Huduma  za Ikulu na Zahanati katika hafla ya kuwazawadia iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipozi na kikosi kizima cha michezo mbalimbali cha Ikulu Sports Club ambacho...

IKONDOLELO KIOTA RASMI CHA MISS UTALII 2012

Hoteli ya kitalii Ikondolelo Lodge iliyoko Kibamba Jijini Dar es salaam , Imeteuliwa na Bodi ya mashindano ya Miss Utalii Tanzania kuwa Hotel Rasmi ya mashindano hayo Mwaka huu 2012. Mchakato wa uteuzi ulihusisha Hotel zaidi ya saba zilizo jitokeza kudhamini fainali za taifa za Miss Utalii Tanzania 2012. Kwa Ikondolelo kuwa hotel Rasmi Miss utalii Tanzania itatumia zaidi ya Shilingi za kitanzania Milioni mia moja , ikiwa ni udhamini wa gharama za kambi ya Warembo na waandaaji zaidi ya...

TUMKUMBUKE DK. REMMY ONGALA JUMAPILI HII

...

BWANA HARUSI ANUSURIKA KIFO SIKU MOJA KABLA YA NDOA YAKE

Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth  Mtebe mara tu baada ya kufunga pingu za maisha jana katika kanisa la Agape jakaranda jijini mbeya. Bwana harusi anaonekana na majeraha baada ya kunusurika kifo katika ajali ya pikipiki na gari usiku wa kuamkia Jumapili ambayo alifunga ndoa. Hii ndiyo ajali aliyopata bwana harusi emmanueli aligongwa na gari aina ya Toyota GX 100  Emmanuel yeye alikuwa anaendesha pikipiki usiku wa kuamkia jumamosi mida ya saa sita nanusu...

WANAWAKE WAKIRI KUFANYA NGONO KINYUME NA MAUMBILE: UTAFITI

Mtafiti Mwanasayansi Irine Mremi, kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binaadamu nchini Tanzania (NIMR) ambaye aliwasilisha ripoti hiyo kwa niaba ya watafiti wenzake wa NIMR.  *** BAADHI ya wanawake kutoka katika Wilaya za  Kinondoni, Tanga, Makete na Siha, wamekiri kufanya ngono kinyume na maumbile. Hayo yalielezwa na Mtafiti Mwanasayansi Irine Mremi kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binaadamu nchini Tanzania (NIMR) wakati akiwasilisha utafiti uliofanywa...

IFC, ALDWYCH INTERNATIONAL, AND SIX TELECOMS TO DEVELOP 100 MW WIND FARM IN TANZANIA

The president of the United Republic of Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete congratulates the Wind East Africa team on the progress made with the Singida 100MW Wind Project after receiving an update on November 4th 2011 at the Singida State House. Left to Right. Said Abdallah (Project Director), Simon Magesa [Project Coordinator-Singida] Rashid Shamte (Founder -Project Director), Mark Gammons (Project Director), Jayce Kaiser (Project coordinator) (Photo:/ State House) ***********  IFC,...

NMB FAMILY DAY YAWAKUTANI​SHA WAFANYAKAZ​I NA FAMILIA ZAO

  Wafanyakazi wa NMB pamoja na familia zao wakicheza mziki katika siki ya Familia. Familia ya NMB ikiwa inaingia Kwenye ukumbi wa South Beach Hotel Kigamboni jana tayari kwa kusherehekea Siku ya Familia ya NMB Watoto wa Wafanyakazi wa NMB kutoka Matawi mbalimbali jijini Dar Wakiwa katika michezo mbalimbali ndani ya hotel ya Southe Beach Kigamboni katika Siku ya familia ya NMB Baadhi ya wafanyakazi wa NMB wakiwa na Familia zao katika siku ya familia ya NMB iliyofanyika...

No comments:

Post a Comment