Friday, February 8, 2013

MFAHAMU 'JYTO AMGE' BINTI MFUPI DUNIANI










Guinness World Records kutoka central India imethibitisha kuwa Jyoti Amge mwenye urefu wa inchi 24.7 aliyesherehekea hivi juzi siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 18, kuwa ndiye mwanamke mfupi kuliko wanawake wengine duniani

No comments:

Post a Comment