1:06 PM (12 minutes ago)
Meneja
Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams (kushoto) akikata utepe
kuashilia uzinduzi wa kuitangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa
wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji
taka nchini Tanzania.Kulia ni Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony
Mwangi.
Meneja
Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika,Hamp Adams (kulia) akizungumza na
wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati hafla ya kutangaza kampuni Trans
Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na
usimamizi wa maji taka nchini Tanzania.Kushoto ni Mkurugenzi wa Trans
Africa Water,Tony Mwangi.
Meneja
Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams (kulia) na Mkurugenzi wa
Trans Africa Water,Tony Mwangi wakiteta jambo mara baada ya kuitangaza
Kampuni ya Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za
pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania .
Mkurugenzi
wa Trans Africa Water,Tony Mwangi (kushoto) akimkabidhi zawadi Meneja
Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams wakati hafla ya kutangaza
kampuni Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za
pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania.
12:01 PM (1 hour ago)
No comments:
Post a Comment