mshairi gendaheka hatunaye tena
** *Gwiji wa mashairi nchini HAMIS HIYANA almaarufu kama "Mkembebwenzi au Gendaheka" hatunaye tena. Marehemu Hamisi alifariki juzi (02.Desemba.2012) katika ajali ya gari iliyotokea Kibamba shule na amesafirishwa leo (04.Desemba.2012) kwenda kijijini kwao Mdaula, Bagamoyo. kwa mazishi.* *Watanzania tunaungana na familia ya marehemu Hamisi Hiayana katika kipindi hiki cha kuomboleza msiba huu mkubwa wa mpendwa wetu.* *"SISI SOTE NI WAJA, NA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA".*
No comments:
Post a Comment