Monday, November 26, 2012

Tanzania yapoteza kiungo muhimu wa filamu


Msanii wa filamu John Stephano Maganga afariki dunia

Msanii wa filamu nchini Tanzania John Stephano Maganga afariki dunia katika hospital ya Muhimbili kutokana na Ugonjwa wa KONGOSHO ambao ulikuwa ukimsumbua kwa mda mrefu. 

Hali ya Marehemu ilibadilika na kuvimba tumbo ghafla, hali iliyopelekea kufanyiwa Upasuaji ili kuokoa Maisha yake lakini ilishindikana na hatimaye kupoteza uhai wake. 

Msiba wa Marehemu John Stephano Maganga uko nyumbani kwao Mwananyamala na taarifa za mazishi zitatolewa 

Enzi za uhai wake marehemu aliwahi kuigiza filamu kama Mrembo kikojozi, Chanzo ni mama , Barmaid na nyinginezo.

No comments:

Post a Comment