NAMTAMBULISHA LADY ZHENA…..AWAPA SOMO WANAMUZIKI WA KIKE!!
Wapo wanamuziki wa chache wa kike wanaopiga muziki wa kizazi kipya, kwa sasa, lakini kadri siku sinavyokwenda, wanaendelea kuibuka wanamuziki kadhaa wa kike ambao kwa hakika wanajitahidi kuziteka nyoyo za wapenzi wa muziki wa kikazi Kipya. Mmoja wa wanamuziki hao ambaye ameamua kufunguka na kueleza ya moyoni mara baada ya kuingia rasmi katika tasnia hii ya muziki wa kizazi kipya ni mwanamuziki Lady Zhena. Lady Zhena anaeleza kinagaubaga kuwa ni vyema wanamuziki wa kike nchini kutambua kuwa, wanapaswa kuwa na moyo wa uvumilivu na kutokata tamaa mapema kwani hakuna maendeleo y... more »
OCHU feat ANETH - KINGEREZA
Ochu sheggy is an East African (Tanzanian) contemporary artist born 23 years ago in Dar es Salaam, Tanzania East Africa. He started his singing career the the late 90’s in church choirs, Besides being a musician ,Ochu is also a talented illustrator ,story writer and plays the quitar. Signed to Seductive Records (Emptysoulz Production) Tanzania East Africa. He has released several hit singles like “ Dar es salaam “,Wauza Sura", “ I Want 2 See ” and Now “ Kingereza ” Feat. Aneth. Ochu has also worked with several Top East African artists like,Mad Ice, Witness, Hbaba jus... more »
MAZISHI YA KHALID NGAMWEMBE (MLOPELO) VIWANJA VYA CHANG`OMBE
Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki waliohudhuria katika mazishi ya mlopelo Wasanii wenzake waliokuwepo katika msiba huo Ndugu wa Marehemu Jarudi mwenye kanzu nyeupe na kaka yake Kulia Jackcha, Mandemla na Diwani mstaafu Foto wakiwa katika msiba huo Sajuki, Hisani na Nora Ndugu wa marehemu wakiwa nyumbani baada ya kuzika Bi. Mwenda alikuwepo katika msiba Mmoja wa msanii ambaye alifanya kazi na marehemu akihojiwa na chombo kimoja cha habari Jabir Saleh Mtangazaji wa Times Fm ambaye mmoja wa marafiki wa marehemu akiwa na Haji Kibomboz Kushoto: Timbwa, Jax na Gogo wakiwa katika m...more »
Na hii ni harusi ya Kihaya
Hivi ndivyo ilivyokuwa reception ya Bw. Dianus Mutta iliyofanyika kwenye ukumbi wa Equator Grill Temeke tarehe 27/10/2012.
Safari yenye bahati
Dada Appia alibahatika kushuhudia zoezi hili la kutoa mahari kwa kaka yake Macarios kabla ya kusafiri usiku wa tarehe 11/11/2012 kurudi Norway anakoishi hivi sasa
Mzee Mdimi alifurahi
Ujumbe kwenda Gongolamboto kwa lengo lakutoa mahari ya Bw.Macarios Banzi ilikuwa chini ya ushauri wa Mzee Mangengesa Mdimi. Wakati wote wa shughuli yeye alifurahi sana kwani shughuli zilikwenda kama tulivyopanga.
No comments:
Post a Comment