Mapenzi
matamu yanaenda na vionjo mbalimbali yakiwemo mabusu
motomoto,,unapombusu mpenzi wako inaonyesha ishara kiasi gani unamjali
na unapenda kuwa karibu yake wakati wote lakini mambo haya unakuta
wanayafanya wapenzi mwanzo wa penzi lakini wakishazoeana unakuta ile
hali ya kubusiana inapungua kumbuka ni vyema ukawa makini usijisahau
katika mapenzi yaani kuwa karibu na mwenza wako wakati wote na si kwa
msimu
|
No comments:
Post a Comment