Untitled
MANISPAA YA TEMEKE NA ZIMA MOTO YA WANAOPAKI PEMBENI MWA BARABARA Temeke Pamoja at KARIBU TEMEKE - 22 hours ago TemekePamoja tunaomba uwajuze watu wa Manispaa ya Temeke kuhusu hili suala lao la malori wanayopaki pembezoni mwa barabara juzi kati ilipita operesheni ya kuyaondoa magari hayo katika barabara hizo lakini naona kama watu wa manispaa wakiwa wanakosa pesa ya bia ndio wanakuwa wakali sana kwanini hili suala haliwi endelevu sababu viwanja vya michezo vinaharibika ndio imekuwa kama sehemu zao kupaki magari wakati wanayadi kubwa pale chan`gombe lakini hawaendi, barabara zinaharib... more »
ALBUM YA PICHA ZA HARUSI YA JACOB NA MAGGIE
*Reception ilifanyika Officers Mess - Dar es salaam* *Mr. and Mrs. Lukwaro wazazi wa bwana harusi* * Bwana harusi na Bestman walikuwa wanasherehekea pia siku ya kuzaliwa* *Ilifana na ilikuwa nzuri ya kupendeza*
SEND OFF PARTY YA BI. MARGARETH BEREGE
*Kabla ya kuitwa mume na mke Jacob na Maggie* *Shughuli ilifanyika Diamond Jubilee VIP Hall* *Iliisha saa 6 kamili usiku* *Hapakuwa na lomgo longo ya muda* * Wazazi wa Maggie baba na mama yake mzazi wakimkabidhi vitabu akasome awe mke mwema* * Waliovaa kijani ni dada zake wa tumbo moja, na ndugu wengine walijumuika kwa picha ya pamoja* *JayDee Family pamoja tunawakilisha*
MANISPAA YA TEMEKE NA ZIMA MOTO YA WANAOPAKI PEMBENI MWA BARABARA
TemekePamoja tunaomba uwajuze watu wa Manispaa ya Temeke kuhusu hili suala lao la malori wanayopaki pembezoni mwa barabara juzi kati ilipita operesheni ya kuyaondoa magari hayo katika barabara hizo lakini naona kama watu wa manispaa wakiwa wanakosa pesa ya bia ndio wanakuwa wakali sana kwanini hili suala haliwi endelevu sababu viwanja vya michezo vinaharibika ndio imekuwa kama sehemu zao kupaki magari wakati wanayadi kubwa pale chan`gombe lakini hawaendi, barabara zinaharibika uwezo wa barabara tofauti na magari yanayoingia mtaani, hizi ni baadhi ya picha ambazo wakikosa hela ya m... more »
TUMEATHIRIKA NA LIGI YA UINGEREZA
Hii ilikuwa jana wakati tukifatilia mechi kati ya Arsenal vs Tottenham watu wengi wameathirika na Ligi kuu ya Uingereza Wemgine h
No comments:
Post a Comment