HIVI NDIVYO WATUHUMIWA WA MAUAJI YA SWETU FUNDIKIRA, WALIVYO TUHUMIWA KIFO LEO. SHUHUDIA
Marehemu Swetu Fundikira
Wathumiwa wakiwa mahakamani Wwakisubiri hukumu
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa wameketi mahakamni hapo kusubiri hukumu
Mara baada ya hukumu kutajwa kulikuwa na mixed feeling na emotions, wa kushangilia walishangilia, wakumshukuru Mungu walifanya hivyo, na wakulia walilia.
Vilio na simanzi vilitawala pande zote
Furaha na vilio vikiendelea
Ushindi
Mkala (katikati) alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha kaka yake katendewa haki na leo hii Swetu ammeweza kupata haki yake na tunaamini kabisa roho yake itapumzika kwa amani
Watuhumiwa waliohukumiwa kifo kutokana na mauaji ya Fundikira.
---
WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira, MTM 1900 Sajenti Roda Robert (42) wa kikosi cha JKT - Mbweni na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JWTZ-Kunduchi leo wamehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment