Tuesday, December 4, 2012


MUHAMMED SEIF KHATIB AKABIDHIWA RASMI OFISI

 - 1 hour ago

** * KATIBU wa NEC, Oganaizesheni Dk. Muhammed Seif Khatib (kushoto) akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa akishika wadhifa huo kabla ya mabadiliko ya Sekretarieti ya CCM yaliyofanyika hivi karibuni, Ndg Asha Abdallah Juma, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika, leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia Ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Uchaguzi kilichopo Idara ya Oganaizesheni, Ndg Matson Chizi. Picha na Bashir Nkoromo* **

No comments:

Post a Comment